Haya mambo ya tech inategemea na wewe utayari wako na kujituma kwa hiyo ni ngumu mtu kukwambia chuo flani ndo bora, maana kompyuter iko dynamic Sana na mambo yanabadilika na mengine wala hamfundishwi mavyuoni kwa hiyo inahitaji juhudi zako mwenyewe na kujiongeza.