Chuo gani kinaongoza na mademu wakali

Hizi post zinaleta watu sana JF ngoja tuziache maana hela inazidi kuingia,
Ila ingekua hakuna cha malipo nadhani Mod angekufutia hadi account kjn
 
wazee ni chuo kipi kina pina zaukweli hapa tz?

Njoo chuo kikuu cha kiislamu kiko morogoro,kuna mademu wa hatari, wanajiachia vibaya hadi vimini huku ruksa. Hiki ndio chuo namba 1 kwa Tanzania kwa mademu wakali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…