Razakyeliasy
Member
- Feb 14, 2014
- 9
- 0
Hii ya TPSC kutoa kozi ya sheria ni jipya,ndio kwanza nalisikia kwako,umefanya Record Management au Human Resource ndio ukahisi ndio sheria?Ndugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika Nacte wananambia kuwa course nlokuwa nasoma Tpsc haijasajiliwa , na nimeangalia mtandaoni nacte ni kweli course haijasajiliwa , naombeni ushauri wenu wasomi
inaonekana wewe mbishi sana, kwa taarifa yako wameanza kutoa kozi ya sheria. usibishe jambo usilolijua. UNAJIAIBISHAChuo cha Utumishi wa Umma a.k.a Tanzania Public Service College toka lini wakatoa kozi za sheria? au ulivyosoma labour Law na Administrative Law DHRM ukajua ndio tayari umekuwa nguli wa sheria!!!!!!
pole kwa yaliyokupata. ongea na uongozi wa chuo ili kama inawezekana waisajili hiyo kozi ili uweze kuendelea na degreeNdugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika Nacte wananambia kuwa course nlokuwa nasoma Tpsc haijasajiliwa , na nimeangalia mtandaoni nacte ni kweli course haijasajiliwa , naombeni ushauri wenu wasomi
Kujiaibisha? unajua maana ya kujiaibisha? wanaojiabisha umeshawahi kuwaona? tumia maneno katika usahihi wake!inaonekana wewe mbishi sana, kwa taarifa yako wameanza kutoa kozi ya sheria. usibishe jambo usilolijua. UNAJIAIBISHA
ona akili yako ilivyofinyu. sentensi nzima umeshika neno moja. shame of uKujiaibisha? unajua maana ya kujiaibisha? wanaojiabisha umeshawahi kuwaona? tumia maneno katika usahihi wake!
Ndivyo Mburuma alivyowafundisha hivyo?
ona akili yako ilivyofinyu. sentensi nzima umeshika neno moja. shame of u
Si uache urud ukakae na mamako
inaonekana wewe mbishi sana, kwa taarifa yako wameanza kutoa kozi ya sheria. usibishe jambo usilolijua. UNAJIAIBISHA
Kuosajili wanaweza kuchukua muda na mm nilikuwa nahitaji kuendelea now sasa sijui niwafanyaje , kosa ni la nani hapo na je naweza pata haki yangu ki vipi
Yani hiki chuo Mimi sina hamu nacho wanafundisha course nyng hawajazijasajili hata huyo ndalichako anatakiwa kuanza nacho maana cha tabora ukiingia nacte account haipo ila wao wanafundisha na hawakusajili nacte wala nn Mimi huwa nashangaa sana na ada wanakula na cheti chenyewe magumashi labda sababu ni chuo cha utumishi wa umma kinalindwaKuosajili wanaweza kuchukua muda na mm nilikuwa nahitaji kuendelea now sasa sijui niwafanyaje , kosa ni la nani hapo na je naweza pata haki yangu ki vipi