Habari wadau ,naomba mnisaidie kidogo kwa wale wanaokifahamu vizuri chuo Cha uongozi wa mahakama LUSHOTO, kina ubora kiasi gani na nitakapomaliza naweza kuhudumia jamii kwa kuaminika nikawapa msaada wa kisheria??
Nimemuita zumbemkuu yeye ni mzoefu zaidi na Mimi nikaongeza Neno kuwa, sijawahi kusikia watu wakilalamika au wakilalamikiwa na kwamba watu wengi wamepita hapo pia
Nimemuita zumbemkuu yeye ni mzoefu zaidi na Mimi nikaongeza Neno kuwa, sijawahi kusikia watu wakilalamika au wakilalamikiwa na kwamba watu wengi wamepita hapo pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.