Tangazo la chuo.
chuo cha ununuzi na ugavi kilichopo chanika kinatangaza nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne katika kozi zifutatazo-
1. VETA business operation assistant
Sifa awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu kuanzia pass moja, mbili na tatu. Yaani alama ya D kuanzia moja.
2. Certificate in procurement and Supply.
Sifa za mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na passes kuanzia nne na kuendelea yaani mwenye D nne.
3. Diploma in procurement and supply
sifa za mwombaji awe amemaliza kidato cha sita na mwenye principle moja. Au certificate
Kwa mawasiliano zaidi piga number 0718476238. 0718227777. 0714445399