Mrs Gudman JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 613 Reaction score 1,300 May 1, 2018 #1 Wadau habari zenu Naomba kuuliza kwa Dar es Salaam chuo gani kizuri cha ufundi, ufundi cherehani, upambaji au maswala ya saloon.?! Wanapokea watu wenye qualification zipi Na huwa wanaanza mwezi gani Kama una mdau yeyote mwenye chuo niunganishe naye
Wadau habari zenu Naomba kuuliza kwa Dar es Salaam chuo gani kizuri cha ufundi, ufundi cherehani, upambaji au maswala ya saloon.?! Wanapokea watu wenye qualification zipi Na huwa wanaanza mwezi gani Kama una mdau yeyote mwenye chuo niunganishe naye
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,271 May 1, 2018 #2 Jaribu VETA, sina hakika sana kama wanayo course ya ushonaji, ninachojua ni kwamba veta ni chuo cha ufundi
Jaribu VETA, sina hakika sana kama wanayo course ya ushonaji, ninachojua ni kwamba veta ni chuo cha ufundi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,586 Reaction score 74,406 May 1, 2018 #3 Nenda Veta Chang'ombe Utapata Mambo Mengi Yaani Maswali Na Majibu
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,446 May 1, 2018 #4 Labda ungesema unataka kusoma nini ili usaidiwe..veta short course zimegawanyika ktka level kwa hyo unaeza jikuta unasoma course moja miaka mitatu
Labda ungesema unataka kusoma nini ili usaidiwe..veta short course zimegawanyika ktka level kwa hyo unaeza jikuta unasoma course moja miaka mitatu
Mrs Gudman JF-Expert Member Joined Jul 3, 2015 Posts 613 Reaction score 1,300 May 1, 2018 Thread starter #5 Tuchki said: Labda ungesema unataka kusoma nini ili usaidiwe..veta short course zimegawanyika ktka level kwa hyo unaeza jikuta unasoma course moja miaka mitatu Click to expand... Kuna binti kamaliza form four matokeo si mazuri ataki kurudia anataka asome ufundi cherehani
Tuchki said: Labda ungesema unataka kusoma nini ili usaidiwe..veta short course zimegawanyika ktka level kwa hyo unaeza jikuta unasoma course moja miaka mitatu Click to expand... Kuna binti kamaliza form four matokeo si mazuri ataki kurudia anataka asome ufundi cherehani