kilimo kwz
Member
- Jan 18, 2022
- 26
- 48
Wakuu kwema?
Naomba kufahamishwa ni wapi nitapata chuo kinachofundisha ufundi pikipiki,kuna mdogo wangu nataka nimpeleke akajifunze ufundi kwanza baadae nitamfungulia duka la spea za pikipiki.
Asanteni.[/b]