Chuo cha Ualimu Maurice, Dar es Salaam

Chuo cha Ualimu Maurice, Dar es Salaam

bakari hemedi

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
 
Chuo kina chukua wanafunzi wenye div1 hadi div4 ya 34 ya mwaka2013, chuo kinatoa kozi ya ualimu ngazi ya cheti(grade A) na ualimu wa chekechea, chuo kina walimu waliobobea ktk taaluma ya ufundishaji na hakija wahi felisha mwanafunzi, ada ya day ni laki7 na unaweza lipa kidogokidogo na boarding ni milio1 na laki 2, nafasi bado zipo za kutosha, kwa mawasiliano zaidi piga cm 0764354980
 
mkuu muda ni miaka mingapi kwa hao wa div.4?
 
Vp chuo hicho kinachukua wale wa mafunzo kabilishi ya mwaka mmoja,ili ajiunge na ngaz ya cheti
 
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580

anzisheni mambo mapya.. Waulizeni wakuu wa vyuo vya Ualimu vilivyo chini ya Serikali wawaambie kinachoendelea... Kwa kifupi there is no more certificate in primary education for form IV leavers! Kozi hizi zitatolewa kwa wanafunzi wanaojiunga na mafunzo ya juu Elimu ya Sekondari!
 
Acha kudanganya wenzako ww, aliekupa hizo habar amekudanganya na wiki hii utaumbuka
 
Wanachukua kuanzia point ngapi kwa mafunzo ya tarajishi kwa mwaka 2009/2012,wale wa mwaka mmoja,ili apate sifa ya kujiunga na ngazi chet darj la 3A
 
sifa ni zilezile za kwenye tangazo la wizara, div4 ya 26 au27 kwa waliomaliza mwisho2012 na div4 ya 32 hadi 34 kwa waliomaliza 2013
 
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580

Kwani kuna chuo kinachofelisha?
 
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Samahani naomba kuuliza kwa sasa pia mnachukua wanafunz??? Na ada kwa ualim wa chekechea n hyohyo ama vp
 
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Mi Naomba kuuliza kuwa kwa mwaka huu Mnachukua mwisho daraja LA ngapi
 
Back
Top Bottom