josephat japhet
Member
- Aug 29, 2013
- 54
- 37
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na huonevu naofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao hugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance. Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE)
Hiyo sidhani kama inatosha kufungia chuo.Na hizo taratibu TCU wanazitambua, ziko hvyo vyuo vyote sema utekelezaji unatofautiana.Hilo unalosema linawezekana Open University.
Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance.
Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE).
Duh mie mbona wangeniua
huko mm ndo ningefukuzwa semista ya kwanza maana kuhudhuria mihadhara kwangu ni kitendawilo kisicho na jibu ......siku za quiz, test, presentation ndo za kwenda chuo ada hao wahindi wanajua ni sekondari hapo hadi wanafwatilia hvo.......

kaka hiki chuo hakina hadhi ya kuwa chuo kikuu. Chuo hakina curriculum, prospectas, uongozi wa serikali ya wanafunzi, maabara wala special examz kwa wenye matatzo. This is a hell
WABONGO WAVIVU WA KUSOMA ndo maana wanataka kukimbia hapo!