Chuo cha St Joseph na St Francis ifakara

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
470
Reaction score
331
Wakuu mwenye anajua kama hivi vyuo ni vizuri kwa kozi ya doctor of medicine msaada
 
Kasome tu Sema Ada ni kubwa sana jibane Muhimbili. Daktari ni guide tu 100% ni practice tu. Na sample za practice zipo hospital humo humo. Utapita kwa wagonjwa toka day one mpaka unakufa kama doctor.
 
Hakuna mtu asietamani muhas lakini ushindani mkubwa mno.
[emoji174][emoji174][emoji174]
 
Huku kwingine utafilisi wazazi bure. Kama upo form six kichwa kizuri piga one kali tu hakuna jinsi. Huku juu Utakujakuua watu kama vitu havikai ni kozi ngumu na ina mambo mengi.
 
Unaongea future impossible tense sadly.
1.5 kukosa chuo aende wapi?
 
Kubishana jua kali haina hata maana.
Siku njema waziri wa elimu
Ukiwa huna uwezo wa hoja ni matusi na kejeli ndio zinakuwezesha kitambaa. Kajiangalia ukubwa wa pua utaona hapo mbele Pana ng'aa halafu linakuwa kubwa na shape mbaya. Hiyo ni dalili ya frustration. Chanzo ni mambo mengi toka utotoni na wasiwasi wa vitu mbali mbali na kutokujiamini. Ndio Tabia zako nilivyokusoma. Naandika kitabu kwa kiswahili cha Tabia na muonekano wa Sura.
 
Sisomi maelezo marefu hivyo Mimi
Enda jidishi usinichoshe
 
Back
Top Bottom