Chuo Cha Police Moshi!

Chuo Cha Police Moshi!

Kiwalan

Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Hivi hiyo programu usahihi wake ni upi?

Kuna utofauti gani kati ya wale wanaopiga miezi 6 na wale wa mwaka mzima? Je, nitapataje hiyo nafasi ya kupiga full year!

Msaada wanaJF!
 
Miez sita ni kwa wenye elimu ya juu, mwaka ni kwa wenye elimu ya kawaida,subiri waje wenye uelewa wa juu watakupa maelezo zaidi.
 
Kuaply ni mpaka nafasi zitangazwe na ni vizuri uwe mhitimu wa kipindi nafasi zinapotangazwa,
 
Back
Top Bottom