jerrto
Member
- Feb 25, 2014
- 46
- 15
Habari za majukumu ndugu zangu,sorry sana kwa usumbufu,but nilikuwa najaribu kutafuta mawasiliano ya chuo cha nursing tosamaganga iringa,kama namba za simu kwa ajili ya kutaka kujua ada zao,qualifications na utaratibu kwa ujumla kwa ajili ya mdogo wangu,unfortunately simfahamu hata mtu mmoja ambaye alisoma au anasoma pale,pia sijafanikiwa kuona hata kupitia mitandaoni nimeona just sanduku la posta ambalo kidogo ni njia ngumu sana ya mawasiliano,ninaombeni msaada wenu kama kuna mtu ana namba au anamjua mtu anayesoma pale, please tujuzane.Muwe na majukumu mema wa ndugu.
NB:msaada wenu ndio urahisi wangu.
NB:msaada wenu ndio urahisi wangu.
