K kishitobe Member Joined Nov 28, 2014 Posts 30 Reaction score 5 Dec 6, 2014 #1 nisaidieni jamani kwa anayefahamu chuo au taasisi inayotoa mafunzo yanayohusu majini/marine apa tanzania au EAST AFRICA,mambo yahusiyo marine engenering na mambo mengine yahusiyo fani hii ya kwenye maji,wana jf nisaidieni tafadhali
nisaidieni jamani kwa anayefahamu chuo au taasisi inayotoa mafunzo yanayohusu majini/marine apa tanzania au EAST AFRICA,mambo yahusiyo marine engenering na mambo mengine yahusiyo fani hii ya kwenye maji,wana jf nisaidieni tafadhali
NYIRO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 264 Reaction score 137 Dec 6, 2014 #2 Nenda DMI posta jirani na bandari ya ferry za kwenda zenji
NYIRO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 264 Reaction score 137 Dec 6, 2014 #3 UDSM pia Conas wanatia bachelor ya marine engineering
kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,939 Reaction score 7,847 Dec 6, 2014 #4 jaribu chuo cha bandari kipo pale tandika karibu na mwembe yanga