Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru

Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
6,996
Jamani nani anauzoefu wa kusoma chuo cha maendeleo ya jamii cha tengeru arusha?je degree zake zinakuwa detailed?ukimaliza unaweza kuwa competetive?

Nipemi mawazo kabla sijaweka vipesa vyangu kusoma hapo
 
Unatakiwa uwe na ubongo competititve kabla ya kutaka wawe competitive.
 
tunatoa certificate na diploma na degreee ya maendeleo ya jamii,gender,na ppm karibun wanafunz wa form 4 na form 6
 
tunatoa certificate na diploma na degreee ya maendeleo ya jamii,gender,na ppm karibun wanafunz wa form 4 na form 6 karibun sana
http;//www.ticd.ac.tz
 
tunatoa certificate na diploma na degreee ya maendeleo ya jamii,gender,na ppm karibun wanafunz wa form 4 na form 6 karibun sana
http;//www.ticd.ac.tz karibun
 
Back
Top Bottom