Chuo Cha kufundisha kunyoa.

kyando12

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
21
Reaction score
19
Habari za leo ndugu, natumai mu buheri wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujuzwa chuo kinachofundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar. Nitashukuru nikipata huu msaada wadau.
 
Nenda veta Kaka kama sio Ile ya uwanja wa ndege kule au hii ya keko
 
Nenda mwenge telemka itv ukiwa unatoka moroco ukisha shuka chepuka kusoto ulizia wanapo fundisha urembo mambo yete hapo angalizo kuna wadada wa hatari hapa
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hadi kunyoa uende chuo?zivu huwa unanyolewa na nani?[emoji276]
 
Nenda saluni yoyote kaombe ufundishwe, huko vyuoni hutopata uhalisia wa mambo ya mtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…