Chuo Cha kufundisha kunyoa ( vinyozi)

Chuo Cha kufundisha kunyoa ( vinyozi)

kyando12

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
21
Reaction score
19
Habari za leo ndugu. Natumai mu buheri wa afya. Wadau, naomba kujuzwa chuo Cha kufundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar, kinapatikanaa sehemu gani, au kinaitwaje? Natumai mtanisaidia kwa hili. Karibuni.
 
Fuatilia veta uhenda wanatoa hiyo short course
 
Habari za leo ndugu. Natumai mu buheri wa afya. Wadau, naomba kujuzwa chuo Cha kufundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar, kinapatikanaa sehemu gani, au kinaitwaje? Natumai mtanisaidia kwa hili. Karibuni.
Kamlipe kinyozi akufundishe kunyoa.
 
Njoo na laki moja mkononi nikufundishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom