remy_official
Member
- Apr 13, 2017
- 27
- 14
habari za majukumu wana jf, naomba kuuliza kuhusu chuo cha Kilimanjaro institute of technology kilichopo sinza mapambano na mwenge, je hiki chuo kiko vizuri kwa ufundishaji upande wa course ya IT? maana kuna jamaa yangu amekosa nafasi UCC anataka aende apo Kilimanjaro make bado wanadahili wanafunzi kwa ngazi ya diploma na certificate