mnyawudesi
Member
- Jun 21, 2015
- 11
- 2
watanzania wenzangu nawaombeni kwa maslahi mapana ya nchi yetu nawaombeni sana msiwatume wanenu kwenye Chuo hiking cha kiboya. shida yake kubwa hakina usajili WA kozi za afya. hivyo mabaraza ya pharmacy mahabara na udaktari hawakitambui. tayari wahitimu wamenyimwa ajira. na sisi tuliondani tumebaki tumechanganyikiwa

Kabla ya kuanza chuo ilibidi ujue ilo kuhusu usajili,ni makosa yako
udahili wa wanafunzi zamani ulikuwa unaomba direct kwa chuo husika.
sasa hv wanafunz wanaomba kupitia tcu, tcu ndio inapeleka wanafunz vyuoni.
kwahy wa kuwalaumu ni wizara ya elimu na tcu!
Ok!good idea.