Vyuo viko vingu mkuu...jaribu kuchacharika asee, muda unayoyoma sana.
Jaribu kucheki website za Bugando, KCMC, MUHIMBILI, RUCU, ST JOHN, UDOM...
Ingia Website ya NACTE kaangalie vyuo vya Afya (Guidebook)
Fanya hima maana muda umekutupa kweli...Yaani, jaribu bahati tu[emoji134]
Au cheki na vinavyotangazwa kwa TV