Vyuo vya Computer science binafsi naona ni IFM, Uniqe academy na udsm ila IFM kipo vizuri sana sana, coz nilishaenda udsm nikaona bado wako local ila ifm na uniqe wapo vizuri hata walimu wao wanajua vitu na ufundishaji pia ni mzuri.

Ifm application ya diploma bado wanapokea we wahi karibia wanafunga wiki hii na unique ni private institute ambacho kipo maeneo ya upanga mkabala na maktaba kuu