Chuo cha COTC Mtwara kinatoa fani ya ufamasia?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nifahamu kama chuo cha COTC Mtwara kinatoa fani ya ufamasia.
 
Wanatoa clinical medicine. source NACTE,

Mara ya mwisho kwenda nilikuta majengo mazuri kweli. Walikuwa na mpango wa kuongeza programmes.sina uhakika kama wameongeza au wanategemea kuanza mwaka huu september.
 
Heshima kwenu wakuu,

Naomba nifahamu kama chuo cha COTC Mtwara kinatoa fani ya ufamasia.

Mkuu inabidi kuelewa unachohitaji hasa, kwani nielewavyo mimi ufamasia kwa kiingereza ni Pharmacist, na huyo ana degree ya kwanza. Hiyo kozi haipo chuo chochote cha COTC. Kwa maana ya kozi za cheti COTC Mtwara wameanza kutoa kozi ya cheti ya mwaka mmoja, yaani Basic Pharmaceutical Technician (NTA Level 4) na ukimaliza na kufaulu unaitwa medicine dispenser na sio mfamasia. I stand to be corrected
 
Kama ni NTA 4,ni Certificate kabla ya Diploma?!
 
Back
Top Bottom