Liac Bosco
Member
- Sep 6, 2018
- 22
- 3
Samahani wana JF ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Amo tanga health centre
Chuo Cha serikali,kinatoa Diploma na advance diploma ya clinical medicineSamahani wana JF ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Amo tanga health centre
Chuo Cha serikali,kinatoa Diploma na advance diploma ya clinical medicine
Thanks mkuu.SI KWELI,...NI KUKOSOE KIDOGO
Ni chuo cha serikali ni kweli, Kimeanza kutoa diploma in clinical medicine mwaka huu baada ya kufutwa kwa Advanced diploma in clinical medicine.
Chuo hiki kilikuwa maalumu kwa ajili ya AMO lakini AMO imefutwa rasmi mwaka jana
Thanks mkuu.