Wasalaam wakuu
Cc Wizara ya Elimu,
TCU,
Kwanza nianze Ku declare interest za chuo kua IMTU ni miongoni mwa chuo cha private kikongwe na ambacho kimezalisha product as nzuri Sana Tanzania na hata nje ya nchi kwa muda mrefu kimekua kikiendesha Medicine school ambayo Ina offer kozi mbili (Doctor of medicine (MD) pamoja na Medical Laboratory (BSc. MLT) pamoja na school Nursing (Bsc. Nursing)
Ila ni miaka sasa yangu mwaka 2009 hiki CHUO cha IMTU kilianza kurudi nyuma kwa kasi ikiwa ni pamoja na kuzalisha madaktari na manesi ambao hawajakidhi viwango na kupelekea kufungwa kwa muda serikali Ina REPORT za kutosha kuhusiana na hiki chuo lakin hawajawahi kuact zaid ya kukifungia kwa muda tu mwaka 2013 wanafunzi wa IMTU wote walifanyiwa distribution kwenye vyuo vingine mwaka 2014/15 chuo kilizuiwa kudahili wanafunzi mwaka 2016/17 vile vile kilizuiwa kudahili wanafunzi
Lakini hali ni mbaya Sana hata wanafunzi walioko pale hawasomi kwa kufuata prospectus wanaishia kufundishwa na part timers na wanafunzi wa MUHAS Departments zote zimechoka wanafunzi pale watakuja kututibu WATANZANIA nasika kila baada ya muda flan East African Commission imekua ikirecommend na kushauri TCU na serikali lakin hawafuati mwisho wa siku wanawapeleka wanafunzi huko wanawatelekeza katika mazingira mabovu mno.
TCU sijajua wanaona ugumu gani kukifunga kabisa hiki chuo cha ovyo dean of Faculty ya medicine sio hata daktari, walimu wote wa Biomedical sciences sio madaktari sasa sijui wanawafundisha nini ndugu zetu serikali tunaomba mfuatilie kwa kina wale wahindi TCU mpaka inàshindwa wizara mpo chukuen hatua stahiki Kama chuo kimeshindwa kitimiza sheria za Tanzania msione haya mkifunge.
Kila siku mama Ndalichako unasema unahitaj graduates kwenye ubora wa kufanya kazi kimataifa je utawapata kwenye chuo Kama cha IMTU kweli?????
Hivi sisi watanzania tumerogwa na nani???
Like chuo hakifai kua hata shule ya msingi naomba mamlaka husika mfanye jambo hali ni mbaya Sana pale IMTU has a ya madaktari na manesi wanafunzi. Nataman nikutumie attachments za bodi za madaktari ambazo waliagiza wanafunzi wote wahamishwe ila internet imegoma. Wahindi Hawa wanakiburi na wala hawafanyi chochote ambacho serikali inawaagiza kufanya Bro. Hata sasa hivi wanafunzi hawasomi vipindi vinapita tu Kama mvua.
Nimeitoa sehemu hii:
My take Kama kweli TCU, Wizara ya elimu, Wizara aya afya , MCT, MAT na wahusika wote mnafahamu juu ya ubovu huu wa hiki chuo na omba Sana TUSICHEZE NA MAISHA YA WATANZANIA serikali kupitia Wizara ya elimu act IMMEDIATELY. Nyie watoto wenu wanatibiwa ulaya hwatakutana na Hawa wa IMTU serikali, serikali act as soon as possible tunataka ELIMU BORA na siyo BORA ELIMU

Andika mambo unayoyajua KAMA kweli Wewe Ni msomi, unaandika mambo usiyokuwa na uhakika nayo, sijajua unalengo gani na hiyo Imtu, weka facts Sio unazii huuWasalaam wakuu

Wewe ni member mpya humu ni great thinkers tu nahisi siyo mahali pako rudi Facebook huko na Instagram huku tunazunmgumza UKWELI na UWAZI ili nikiweka facts then?????Andika mambo unayoyajua KAMA kweli Wewe Ni msomi, unaandika mambo usiyokuwa na uhakika nayo, sijajua unalengo gani na hiyo Imtu, weka facts Sio unazii huu
Sina lengo baya wote ni WATANZANIA tuna haki ya kujenga nchi kikamilifu kwa hiyo Kama RAIA mwema nimesema ninachokifahamu ili serikali iwe macho na ikiwezekana ifanyie kaziAndika mambo unayoyajua KAMA kweli Wewe Ni msomi, unaandika mambo usiyokuwa na uhakika nayo, sijajua unalengo gani na hiyo Imtu, weka facts Sio unazii huu
Mbona Mimi now ni specialist muhimbili wameniamini acha maneno ya kikudaaaHiki chuo ni mtambo wa kufyatulia madaktari wasio na uwezo....sijui kilifunguliwa lini?