Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Kiingilio kirudishwe,Hii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV
Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.
MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.
Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.
Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.
Mama anatembea na vijana wadogo
Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.
Jamii imeoza sana.
Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.
Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.
Nioneshe tangazo la condom linaloonesha wahusika wakifanya mapenz na mm ntakuonesha hii video kupitia ITVKuna baadhi ya taarifa bila video au picha hazinogi kabisa, tunabakia na deni ndani ya roho zetu. Ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki kwa jirani.
tangu vijana wengi wawe walimu full kujimegeaHii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV
Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.
MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.
Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.
Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.
Mama anatembea na vijana wadogo
Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.
Jamii imeoza sana.
Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.
Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.
Michezo hiyo ipo sana miaka ya sa ivi. Sio huko karibu nchi nzimaHii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV
Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.
MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.
Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.
Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.
Mama anatembea na vijana wadogo
Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.
Jamii imeoza sana.
Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.
Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.
Hii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV

Is LordJesus..
Wakubwa mmemtengaKuna mwingine huku jijini namuona tu alivobize na vibinti, siku zake zahesabika....