Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Hii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV
Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.
MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.
Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.
Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.
Mama anatembea na vijana wadogo
Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.
Jamii imeoza sana.
Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.
Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.