Chunusi zinanikosesha mke

Chunusi zinanikosesha mke

Jamani kwani Jukwaa hili ni la watu wa umri gani? Kijana wala usiwe na wasiwasi si lazima kuwa amekukataa ila labda angependa uwe na muonekano Fulani. Kama una hakika hiyo ni dawa ya kuondoa chunusi tumia . Hata endapo hatakuwa na interest basi utapata mwingine kwani umri wako bado mdogo.
Vijana wengi huwa wana maswali hawajui wapi wakayaulize tusiwakaishe tama maana huenda wanatarajia kutumia uzoefu wetu watu wazima
 
Back
Top Bottom