Apo inabidi uende kwenye kitengo sasaMziziMkavu,
Je kama chunusi zinatokana na madhara ya HIV?
Mimi ni muhanga wa chunusi. Zilinitesa sana hamna dawa ambayo sijatumia. Ingekua sehemu ambayo hatufichi identity zenu ningekutumia picha za before and after ili u prove. Kuna dawa nilitumia ukienda duka la dawa utapata. Chunusi zako ni white heads au black heads? What is the extent of the problem. Tuma picha hata la shavu tu nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah mimi pia ninazo nyingi sana siku hizi ,zimekuja ghafla
Ngoja niweke nafasi, ili wataalamu wakija nipate notification.
😂😂😂Shombe la kisomali mbona una sura nzuri hivi chunusi limekutokea wapi?
Shombe la kisomali mbona una sura nzuri hivi chunusi limekutokea wapi?
Wewe ni Mwanamme au Mwanamke? chukuwa kipande cha limao jipake kwenye hizo chunusi, kisha acha kama dakika 30 kisha jioshe kwa maji ya uvuguvugu fanya hilo zoezi asubuhi mchana na usiku siku 3 au siku 5 au siku 7 umepona na hizo chunusi zako inaonyesha bado kijana chunusi za kubaleghe hizo.Doctors, me Nina shida ya kuelewa kitu kimoja..
Hv katika chunusi ukikamua hzo chunusi huwa kuna vitu vyeupe vyeupe vinatoka kama ugali huwa ni nini na vinasababishwa na nini..?, IPI ni njia sahihi ya kutokomeza hii hali/huu ugaliugali.
B'se hapa kwa sura yangu kuna kama kinusi kimevimba kidogo hv, katikati kuna kama kitundu huwa nikikamua tu hivyo vitu vyeupevyeupe vyatokea.. Naomba msaada Madoctor kuhusu hilo..
Dawa gani naweza tumia ili kuondoa hii hali/haya mavitu vyeupevyeupe kama ni yakupaka itakuwa fresh