Chunguza uniambie: Sura za watu wakiwa wanaongea na mobile phones

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,898
11,292
saal kwa jina na bwana anayetuweka hai... nina raha kubwa kurudi kundini na hasa enzi zile nikiwa mchanga JF....

Leo nikiwa lunch chini ya muti, nilipata bahati ya kumuangali dada mmoja akiongea na mtu kwenye kimobaili, it was like a movie, yani dada alikua anajishaua, abinue mdomo, afinye macho... na kali zaidi pale ambapo alikua hasikii vizuri simu yake basi alikua anabinua hadi pua, na kuweka vidole kila mtindo

I got an interest kujua... hivi huwa mnaangalia watu wakiongea na mobile??

Mwingine ni jamaa alikua next table, yeye alikua anapaza sauti mno kila mtu amsikie kwamba amepata line safi

Ni friday na red label has already been procured for a special day
 
Mkuu,
Kumbe umeona eeh?

Aina ya uongeaji (hasa kwa hawa wa jinsia nyingine) inaashiria anaongea na nani, lakini pia ana mahitaji gani kwa huyo mlengwa!.
..
Nilipata kuongea kwa simu na mtu ninayemheshimu siku moja, hakyanani sikuamini...!Ni full majaribu, yaani ni ile ukimgusa na kidole ni tiii chini!!

Ogopa sana simu hasa unapopigiwa na mtu wa jinsia ya kike!...Hawaishii na salamu!...Lazima kunakuwa na ziada ya maongezi!....
 
hahahahha nimechekaaaaaaaaaaaa dah mdada mapoz A akilonga sio?

NITA PROPOSE TCRA WAWEKE SHERIA ZA MIKAO WAKAT WA KUONGEA NA CM
UKIJISHAUA SHAUA,KUONGEA KILUGHA,SAUTI KUBWA BASI SIMU YAKO IKATIKE GHAFLA.
NAWASILISHA KWA FURAHA.
 
Dadangu akipigiwa na majamaa zake kama yupo sitting room atajilaza kwenye sofa na kujigeuza geuza huku akiongea, mara ajipapase papase au ampapase mtu wa jirani yake.
Sijui akiwa chumbani inakuaje.
 
KWAN APAND ENNH?
aya .
we mwanaume leo nina muda bas nambie kunguru anadakwa pande ip leo....m full charged here fizikaly n spritually...!!!

Orait Orait nitakupa full macharge ili tuone kunguru anadakwa pande zipi mimi niko hadi bodykaly
 
Unaweza kupitiliza kituo mana watu wengine wanaongea na simu kama hotuba, waongo mule mule na wengine mchanaa kuchanganya akili wenza wao.

BJ acha tu saa zingine inabidi ubebe mwamvuli maana kuna watu wanamwaga wakiwa wanaongea na simu
 
Dadangu akipigiwa na majamaa zake kama yupo sitting room atajilaza kwenye sofa na kujigeuza geuza huku akiongea, mara ajipapase papase au ampapase mtu wa jirani yake.
Sijui akiwa chumbani inakuaje.

Wewe kweli Kichwa Ngumu, unaanza kumpiga picha dadako akiwa chumbani? kaazi kweli kweli
 
Dadangu akipigiwa na majamaa zake kama yupo sitting room atajilaza kwenye sofa na kujigeuza geuza huku akiongea, mara ajipapase papase au ampapase mtu wa jirani yake.
Sijui akiwa chumbani inakuaje.

mwambie dada uongeaji uo haulet pcha nzur
 
BJ acha tu saa zingine inabidi ubebe mwamvuli maana kuna watu wanamwaga wakiwa wanaongea na simu

Hiyo ndiyo kero kabisa mana mtu unaweza kupata magonjwa, nikiona hivyo nageuza kisogo au kama nina gazeti nalifungua kama nasoma. halafu bado ringtone haijaamka mana kila mtu na mlio wake..kweli simu zina mambo!
btw, huyo mkaka kwa avatar yako nitamtafuta via mobile:)) mashalaah ni hilo TU!!
 
KWAN APAND ENNH?
aya .
we mwanaume leo nina muda bas nambie kunguru anadakwa pande ip leo....m full charged here fizikaly n spritually...!!!
Dah I wish I could be there to discharge the full charge!!
back to the topic, Hivi mzee wa Memkwa, unakarisearch unafanya? maaana kila ulipo waangalia bin wa adamu na vituko vyao, BTW karibu huku kwedukwazu tule machungwa!
Tanga raha bana!
 
Mkuu,
Kumbe umeona eeh?

Aina ya uongeaji (hasa kwa hawa wa jinsia nyingine) inaashiria anaongea na nani, lakini pia ana mahitaji gani kwa huyo mlengwa!.
..
Nilipata kuongea kwa simu na mtu ninayemheshimu siku moja, hakyanani sikuamini...!Ni full majaribu, yaani ni ile ukimgusa na kidole ni tiii chini!!

Ogopa sana simu hasa unapopigiwa na mtu wa jinsia ya kike!...Hawaishii na salamu!...Lazima kunakuwa na ziada ya maongezi!....
yani kuna mmoja alifinya jicho halafu akawa kama anatamani jamaa amalize kuongea lakini wapi...... yani hiyo mikono ilikua kama karateka
 
Back
Top Bottom