Chunga ulimi wako na sehemu za siri

Chunga ulimi wako na sehemu za siri

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
547
Reaction score
393
Salaam!
Kijana chunga vitu viwili la sivyo tutahangaika na tusijue wapi tulipokosea tutafute namna bora ya kutumia ulimi wetu si kila jambo tunaweza sema au nyeti tukazitumia kila mahala.

kwan majuto yake huwa ni makubwa na utawaacha wanaokulilia bila sababu za msingi.

Tutafakari si kila jambo unaweza sema tutakwisha!!
 
Salaam!
Kijqna chunga vitu viwili la sivyo tutahabikiwa na tusijue wapi tulipokosea tutate namna bora ya kutumia ulimi wetu si kila jambo tunaweza sema au nyeti tukazitumia kila mahala kwan majuto yake huwa ni makubwa na kuna utawaacha wanakulilia bila sabb za msingi
Tutafakari si kila jambo unaweza sema tutakwisha!!
Unataka kusema nini?
 
Back
Top Bottom