Kisayansi hakuna uthibitisho wowote punyeto inapunguza nguvu za kiume, magonjwa kama sukari yanachangia kupunguza nguvu za kiume. Wengi wao wenye matatizo ya nguvu za kiume ni yakisaikolojia zaidi. Period.
Nimecheka sana!Ni kweli maana wanawake wa sikuizi wanataka miguvu maana nao washajua masugu
Unaachaje kwa mfano.Oooooooh na hapo kuacha tusahau tu
Yaani ndio nilikua namalizia kukitupa hapa
Dah...Hivi kweli hakuna kazi ya maana ambayo mwanaume anaweza kusifiwa zaidi ya hiyo?? Safari ya tz ya viwanda bado ndefu sana......
Siachi ng'ooKwa kujua madhara yake