Baba: Unamjua Julius
Nyerere?
Mtoto: Hapana simjui.
Baba: Pumbavu sana kuwa
makini na masomo yako..
Mtoto: Haya. Na wewe baba
unamjua Hamisi Kibonyezeo?
Baba: Hapana Simjui.
Mtoto: Pumbavu sana, Kuwa
makini na Ndoa yako..
Kuna misemo mingine hua valid fo a specific to the kind of persons!
Mf. Huu hautakua na maana kwa mtu kama Bakhresa, au lile zee la Oilcom (Munif) mizee yenye hela!
Saa ngp atakua na time ya eti anachunga mzigo?