Chunga kibati

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Jamaa wa kipare alimwambia mkewe wacheze kibati lakini yeye atakuwa kila akipiga kisi kimoja atatoa sh. 1000, ilipofika mwisho wa mwezi mke akatoa fedha alizokusanya akamuonyesha mumewe sh 60,000 mume alipouliza kulikoni, mke akamwambia:"si mmeongezeka wawili na yule jirani yetu pia"
 
why!!mpare na si mwingineee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…