Chumvini kumesababisha maafa, msaada tafadhali

We mwongo utakua ulitoka nje,au niunganishe ba mkeo ili nimuulize kama hutokagi nje.
 
Lete picha pls magonjwayafungus yako.mengi ukituwekea rahisikuona.na.kujua.wapi.kuanza

Kwa kuanzia.nunua dawa ya argumentine meza.fulldose we na.mkeo fulldose..alafu mnunue dawa inaitwa dacktarin.jel hii unaweka.mdomoni unasambaza ..kila.mtu awe na tubeyake azawais msipopona.nenden.hosp..ila naamini hizo dawa nilizowaambia

Kilalakheri na mnaojibu utumbo.acheni ujinga haya n.mambo ya afya mheshimu mtu anamaanisha nini...

Experience is the best teacher
 
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo huwa tunaridhishana na kufurahishana kwa njia mbalimbali ikiwamo kuzama chumvini na kulamba koni, sasa kama wiki imepita nilizama chumvin na nahisi nimepata fangasi za mdomo baada ya kugundua tofauti ya kinywa nikipiga mswaki pia nikila chakula hata mwenzangu ana hali kama yangu , naomba msaada tafadhari dawa gani inaweza kunisaidia kutibu haya maradhi.......... nawasilisha.

mmejiambukiza fangasi za sehemu za siri mdomoni (kinywani), mkatibiwe tu hospitali wote wawili. Dawa za kujiganga bila daktari kuona umeathirika kiasi gani na ugonjwa zinaweza zisisaidie sana. Mkatibiwe tu Hakuna namna nyingine
 
Lete picha pls magonjwayafungus yako.mengi ukituwekea rahisikuona.na.kujua.wapi.kuanza

Kwa kuanzia.nunua dawa ya argumentine meza.fulldose we na.mkeo fulldose..alafu mnunue dawa inaitwa dacktarin.jel hii unaweka.mdomoni unasambaza ..kila.mtu awe na tubeyake azawais msipopona.nenden.hosp..ila naamini hizo dawa nilizowaambia

Kilalakheri na mnaojibu utumbo.acheni ujinga haya n.mambo ya afya mheshimu mtu anamaanisha nini...

duuh mbona umewaanzia na dose ya juu na ya bei mbaya, kwann acitumie kwanza clavam/rapiclav zikishindikana aanze hizo, na aanze na micora oral cio daktarin,,,,,,,
 
Lete picha pls magonjwayafungus yako.mengi ukituwekea rahisikuona.na.kujua.wapi.kuanza

Kwa kuanzia.nunua dawa ya argumentine meza.fulldose we na.mkeo fulldose..alafu mnunue dawa inaitwa dacktarin.jel hii unaweka.mdomoni unasambaza ..kila.mtu awe na tubeyake azawais msipopona.nenden.hosp..ila naamini hizo dawa nilizowaambia

Kilalakheri na mnaojibu utumbo.acheni ujinga haya n.mambo ya afya mheshimu mtu anamaanisha nini...

Simu yako ni mpya hujaizowea au ndo uandishi wako tu?
 
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo huwa tunaridhishana na kufurahishana kwa njia mbalimbali ikiwamo kuzama chumvini na kulamba koni, sasa kama wiki imepita nilizama chumvin na nahisi nimepata fangasi za mdomo baada ya kugundua tofauti ya kinywa nikipiga mswaki pia nikila chakula hata mwenzangu ana hali kama yangu , naomba msaada tafadhari dawa gani inaweza kunisaidia kutibu haya maradhi.......... nawasilisha.

Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo

kansa-ya-mdomo-jpg.211826

Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu mbalimbali Tanzania wanakutwa nazo.
Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka taasisi ya Saratani Ocean road Julius Shija amesema takwimu zinaonyesha kuwepo kwa saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kuliko miaka iliyopita Tanzania.

Kwenye sentensi ya pili akasema >>> ‘Watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa kuhusisha mdomo, saratani ya mdomo ipo na nyingine zinasababishwa na zinaa’

Anasema kwenye kupokea wagonjwa wapya kila siku kwenye taasisi hiyo, Wagonjwa waliopata saratani hiyo mdomoni na kwenye njia ya juu ya hewa baada ya kujamiiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka na sasa wanapokea Wagonjwa 500 mpaka 600 tofauti na kipindi cha miaka ya tisini mwishoni na miaka ya elfu mbili mwanzoni walipokua wakipokea Wagonjwa 200-300.

oralcancer_exam-jpg.211827

Kufanya mapenzi na kuhusisha mdomo kunaleta saratani kupitia mdomo na sehemu ya juu ya hewa, virusi hivi vikifika kwenye sehemu ya juu ya hewa na mdomoni na vikakuta kuna mchubuko au uwazi wowote vitaingia kwenye hizi chembechembe za fizi kwenye ulimi na kwenye njia ya juu ya hewa, vitapenya ndani na kuharibu zile chembechembe na zitaanza kukua na kusababisha saratani’

Kwa kumalizia anasema virusi hivi kikawaida vinakuwa kwenye sehemu za siri na vinasambaa kwa njia ya kujamiiana na vinasababisha baadhi ya saratani kwenye sehemu za siri kwa mfano saratani ya shingo ya uzazi
kwa Wanawake.

Chanzo: MillardAyo

Topic: Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo

Ukihitaji dawa ya kukutibu mimininayo ukiweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Hebu weka picha ya wewe na mkeo tuone huo ni ugonjwa gani. Mimi ni daktari nikiwatizama tu kwenye picha ntajua kama ni kas,gon au fun. Pole sana ndugu yangu.
 
Sasa kama ugonjwa wa kawaida kwa nini unakuja kutusumbua huku watu tumejipumzisha na wake zetu. Achen ujinga we mkamue sana tu haina haja ya kumnyonya huko upate na magonjwa zaid na zaidi.huko sehemu kumeumbwa kuingiza mpilpil tu basi. Ulimi si sehemu yake.unaleta ufundi then unateseka mdomo utaanza kutoa harufu kama K shauri yako .huo ugonjwa unaosema wa kawaida kitaalam unaitwa gynocelouvis unachimba ulimi,fizi na meno yataanza kudondoka.ulimi utatoboka. Sasa wewe sema ni kawaida tu kama hujaanza kuokota meno yaanapoanza kuachia toka kwenye fiz

Ok nimewaeleweni wote nashukuru kwa ushauri wenu , greaty ni mambo ya mahabati tu any way kansa ni ugonjwa wa kawaida tu kama magojwa mengine na unaweza kuupata Mungu akipenda upate sio tatizo.
 
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo huwa tunaridhishana na kufurahishana kwa njia mbalimbali ikiwamo kuzama chumvini na kulamba koni, sasa kama wiki imepita nilizama chumvin na nahisi nimepata fangasi za mdomo baada ya kugundua tofauti ya kinywa nikipiga mswaki pia nikila chakula hata mwenzangu ana hali kama yangu , naomba msaada tafadhari dawa gani inaweza kunisaidia kutibu haya maradhi.......... nawasilisha.
MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA NJIA YA MDOMO
SOMENI HAPO CHINI

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA NJIA YA MDOMO.jpg
 
Wahini hospitali isije kuwa mmoja wenu kalikumba gonjwa la gono mahali. Kila la heri kwenye matibabu na usisahau kuleta mrejesho kuhusu kilichowasibu.
 
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo huwa tunaridhishana na kufurahishana kwa njia mbalimbali ikiwamo kuzama chumvini na kulamba koni, sasa kama wiki imepita nilizama chumvin na nahisi nimepata fangasi za mdomo baada ya kugundua tofauti ya kinywa nikipiga mswaki pia nikila chakula hata mwenzangu ana hali kama yangu , naomba msaada tafadhari dawa gani inaweza kunisaidia kutibu haya maradhi.......... nawasilisha.
unabahati kipindupindu kimekukosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom