Ulikiw ukitumia chumvi nyingi....?langu langu wadau!
Njia hizo zingine ni zipi Mkuu.?Poleh sana,matumiz ya chumvi nying sio mazur kwa afya zetu na kusema kuacha ni vigumu lakin kwa kupunguza inawezekan. Pia tukumbuke kuwa kuna njia nying zinazoweza kusababisha HT endapo tutashindwa kuzicontroll
Poleh sana,matumiz ya chumvi nying sio mazur kwa afya zetu na kusema kuacha ni vigumu lakin kwa kupunguza inawezekan. Pia tukumbuke kuwa kuna njia nying zinazoweza kusababisha HT endapo tutashindwa kuzicontroll
Nilishawaza mbali.