Chumong kuja bongo

Thanks, nitaitafuta. Nilichoshwaga na kina babarita na lamujer demi vida
Hahahahahaa!!! Si siri mkuu, Jumong, the prince of legend, ni bonge la tamthilia ambayo kwa nchi kama zetu zina kila kitu cha kujifunza!! si tu kwamba inaburudisha, ni bonge la darasa hususani kwa watu walio kwenye nyanja za uongozi!!! Ni full usaliti, hujuma, uasi na mambo kama hayo!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…