I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 837 Jun 3, 2014 #1 chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available
chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jun 3, 2014 #2 island said: chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available Click to expand... Mtafute Barelawyer Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
island said: chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available Click to expand... Mtafute Barelawyer
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Jun 3, 2014 #3 kipo kimara kona ni self chumba na sebule
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Jun 3, 2014 #4 island said: chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available Click to expand... Njoo kigamboni, kuna chumba na sebule plain 70,000 na chumba/sebule self 150,000 zote miezi sita kodi. Gari moja 400 mpaka ferry, kivuko 200.
island said: chumba sebule tajwa hapo juu kinatafutwa , kama kina self itakuwa vizuri zaidi, gari moja kuja posta dar es salaam liwe chaguo la kwanza NI PM kama kipo available Click to expand... Njoo kigamboni, kuna chumba na sebule plain 70,000 na chumba/sebule self 150,000 zote miezi sita kodi. Gari moja 400 mpaka ferry, kivuko 200.