Habari...
Wadau natafuta chumba na sebule mitaa ya survey, mwenge au mikocheni maana nafanyia kazi mitaa hiyo... Bei ya pango ya nyumba nitakayoimudu ni kati ya tsh.80,000-120,000/= kwa mwezi. Maji yawepo pia. Ni- pm kama unaweza kunisaidia, nina uhitaji sana wadau
asanteni