Chumba na sebule (umeme bure) Sinza

Safi
Kwako kuna raha yake kwa maana ya Uhuru na ukishajenga umejenga tofauti na kupanga Kila siku kodi inapanda ukichukua nyumba ya laki name kwa mwezi Mara mwaka na nyumba ndogo ya kuanzia maisha
 
Chumba IPO mtaa Fulani chumba na sebule .na choo ndani ,ina maji, luku yako,gypsy.tiles, paa imepanda juu, ina packing na geti, kodi 80.000 kwa miez 6 .wahi badi vichache .
 
Bila picha hainogi
Pole mkuu.
Si kawaida yangu kufanya hivyo.
Juzi wakati na post mtandao ulikuwa
unasumbua, baadae tena ni-katingwa.

Kama bado unahitaji nitumie ujumbe whatsapp nitakurushia.
 
Hiyo ni kodi ya awamu iliyopita. Awamu hii haina mirija punguza masharti.
Ndugu,
Sema 'Sina hela'
Sio 'HATUNA HELA'

Zipo hadi masta moja tu ya 450,000.
(Laki Nne na nusu) na hazikai.

Ila watu tunalalama tu.
 
Kwa kodi hiyo awamu hii ya hapa kazi tu utasubiri sana mkuu. Wakati hapa hapa sinza madukani kuna Manyara lodge inapangishwa na vyumba ni master bei 150000 tu kodi miezi 6.

Umeviona hivyo vyumba vyenyewe?

Pili, Ushasema ni Loji,
Inafanana na sehemu ya kuishi kweli hata ingekuwa 50,000?
 
Kwaio ni banda la uani au ni nyumba au ni chumba na sebule
 
Ni banda,Watoto wa dar mna dharau sana,kwahiyo hizi nyumba zetu hapa Bukoba za tope zilizoangushwa na Tetemeko si mnaziita Tembe?
 
Chumba IPO mtaa Fulani chumba na sebule .na choo ndani ,ina maji, luku yako,gypsy.tiles, paa imepanda juu, ina packing na geti, kodi 80.000 kwa miez 6 .wahi badi vichache .

Patakua Chanika Videte huko mkuu
 
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza karibu Na Wanyama Hotel
Dalali anayejua aniPM
 
ok...ngoja nisubiri kwanza muswada wa kupunguza na kuongeza mishahara ujadiliwe
Usawa ni mgumu sana, ila wenye nyumba nao wanasema hizo ni investment waliozowekeza ili waweze kuhimili hali kama hii.
 
Usawa ni mgumu sana, ila wenye nyumba nao wanasema hizo ni investment waliozowekeza ili waweze kuhimili hali kama hii.
ni kweli mkuu....wenye uwezo watakuja tuu...daima hatulingani
 
ni kweli mkuu....wenye uwezo watakuja tuu...daima hatulingani
Hapana hebu fuatilia NHC ninasikia wanaanza tenant purchase scheme ambapo utatoa pesea kidogo kama downpayment halafu utakatwa kidogo kidogo kupitia mishahara, vyanzo hakika vya uchumi kama ilivyokuwa magomeni kota, temeke wailesi na ilala.
 
hahaaa hao ndo hatuwawez kabisa ...acha tuendlee kupanga tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…