Chumba na sebule ubungo externl kinapangishwa

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,337
habari wadau..

chumba na sebule kinapangishwa ubungo external 120,000 kwa mwezi.. ( kodi miez 6)

kipo ndani ya fence, kuna umeme na maji..

choo cha nje...( sio master bedroom)

hatakiwi dalali... kama unajijua dalali pita kimya kimya..

hatakiwi mzinzi pia... maana ni compound decent.

0718 537216
 
Mziinzi ana alama gani?
 
Kwa bei hiyo alafu haja nikajisaidie nje hapana.......kingekuwa master kingewavutia wengi sana.......
Mambo ya kubanwa na haja na kuanza kugombana na mlango yanakera......
 
habari wadau..

chumba na sebule kinapangishwa ubungo external 120,000 kwa mwezi.. ( kodi miez 6)

kipo ndani ya fence, kuna umeme na maji..

choo cha nje...( sio master bedroom)

hatakiwi dalali... kama unajijua dalali pita kimya kimya..

hatakiwi mzinzi pia... maana ni compound decent.

0718 537216
UMEME NA MAJI NI VYA KUSHARE AU INDIVIDUAL?
 
Bila picha tangazo lako halinogi. Unataka watu waanze kuuliza hali ya chumba na sebule, tiles ama sakafu ya mchanga, size ya room and the like!
 
yani napanga nyumba masharti kama naishi kwa mshua??? eti hakuna kwichi kwichi haaa ha acheni zenu, asa iyo hel yote unajua natoa bure??
masharti magumu ngoja nipite uku
 
Back
Top Bottom