Chumba na sebule self na jiko lake kinapangishwa

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Kuna chumba na sebule jiko pamoja na choo chake maeneo ya savei dakika 5 kwa mguu tokea mlimani city. Bei ni shilingi 150,000/= inaitajika kodi ya mwaka. Maji yapo 24/7. Hakuna malipo ya dalali. Piga 0713401812
 
hebu weka picha tuone mazingira mkuu, kuna kandugu kangu kanataka kuanza maisha mwezi huu wa tisa. nyumba iko fenced kuna parking? kuna wapangaji wangapi ndani? luku ni kushare? huo upande unajitegemea mlango wa kuingilia au ni mmoja?
 
Nyumba inajitegemea hakuna fence ila gari linafika mpaka mlangoni kwako. Nafanya hivi kusaidia watu wasilipe ela nyingine kwa dalali au usumbufu wa madalali.
 
picha tafadhali kwa faida ya wengi maana maeneo hayo bei zinakuaga zimechangamka sana
 
Kuna chumba na sebule jiko pamoja na choo chake maeneo ya savei dakika 5 kwa mguu tokea mlimani city. Bei ni shilingi 150,000/= inaitajika kodi ya mwaka. Maji yapo 24/7. Hakuna malipo ya dalali. Piga 0713401812

Hiyo nyumba design yake ni servant kota au kama design ya kituo cha polisi(sebule mlango wake,chumba mlango wake,choo mlango wake)?
 
Nyumba inajitegemea hakuna fence ila gari linafika mpaka mlangoni kwako.

Umeulizwa kama kuna parking....

Gari kufika hadi mlangoni haina maana kuwa parking ipo...
 
Hiyo nyumba design yake ni servant kota au kama design ya kituo cha polisi(sebule mlango wake,chumba mlango wake,choo mlango wake)?

which means ukitoka kwenda toilet mpaka utoke nje then uingie toilet?
 
hebu weka picha tuone mazingira mkuu, kuna kandugu kangu kanataka kuanza maisha mwezi huu wa tisa. nyumba iko fenced kuna parking? kuna wapangaji wangapi ndani? luku ni kushare? huo upande unajitegemea mlango wa kuingilia au ni mmoja?

IMG_1930.jpg
 
Nikuchukulie nini mkuu si ndo wewe umepiga simu no inaishia na 30?
 
Maelezo yanajitoshelaza mkuu kila kitu jiko na choo ni humo ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom