Chumba na sebule savey

Chumba na sebule savey

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Wakuu napangisha chumba na sebule pia kina jiko lake na choo chake dak 5 toka mliman city. Kwa mwezi lak 2 hakuna dalal. 0713401812.
 
Wakuu napangisha chumba na sebule pia kina jiko lake na choo chake dak 5 toka mliman city. Kwa mwezi lak 2 hakuna dalal. 0713401812.
icho chumba ni self? au, na haupunguzi?
 
Picha ya nyumba na mazingira ya nje, vp suala la vibaka?
 
Mlimani city na chumba vinahusiana vp? wengine shopping karume, kariakoo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom