Mosskiss Senior Member Mar 22, 2011 158 103 Apr 19, 2017 #1 Kinapangishwa kinondoni mkwajuni.. 100,000 kwa mwezi.. karibu na stand.. zipo mbili moja ina choo na jiko ndani kwa 150,000.. 0713799522
Kinapangishwa kinondoni mkwajuni.. 100,000 kwa mwezi.. karibu na stand.. zipo mbili moja ina choo na jiko ndani kwa 150,000.. 0713799522
dyuteromaikota JF-Expert Member Apr 30, 2013 5,927 8,307 Apr 20, 2017 #4 Mosskiss said: Miezi 6 Click to expand... Kweli namba inasomeka, hapo nyuma kino nyumba ya kulipa chini ya mwaka usingepata kabisa!
Mosskiss said: Miezi 6 Click to expand... Kweli namba inasomeka, hapo nyuma kino nyumba ya kulipa chini ya mwaka usingepata kabisa!
Ze Heby JF-Expert Member Jun 22, 2011 5,566 6,012 Apr 21, 2017 #5 Mkwajuni ndio pale karibu na bonde pale kwenye vibaka wengi ?