A antho Member Joined Jun 4, 2024 Posts 25 Reaction score 39 Dec 9, 2024 #1 Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 7,379 Reaction score 12,052 Dec 9, 2024 #2 Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu Kikubwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii
Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu Kikubwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii
A antho Member Joined Jun 4, 2024 Posts 25 Reaction score 39 Dec 9, 2024 Thread starter #3 Vien said: Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu Kikuvwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii Click to expand... Shukurani Mkuu pamoja
Vien said: Mkuu hiyo location (Tandika mashine ya maji) itafukuza wateja wengi lakini nakuhakikishia mteja atapatikana tuu Kikuvwa tuendelee kutafuta pesa kwa bidii Click to expand... Shukurani Mkuu pamoja