Chumba na sebule for rent Kimara kituoni kabisa

weka picha mkuu haina jiko lake ndani

Hajasema nishati gani inatumika kwenye hiyo nyumba km ni umeme huo wa 30 elfu, kuni, mkaa, gesi, au motopoa. Energy source ni muhimu hapo Kijanakijana kuja huku tupe mwongozo
 
Mkuu, ujenzi ni gharama sana kuanzia bei ya kiwanja, materials, ramani, mpaka inaitwa nyumba tayari mamilioni yameteketea,

Hoja yangu ni kwamba nimpe ramani ya nyumba kwa bei ya mwezi mmoja ili ajiandar kujenga ya kwake.

kumbe ulikuwa unatangaza biashara, hapo nimekuelewa!
 
Hiko chumba hakijajaa vumbi za strabag??

Unajua mita 75 ukubwa wake??
 
Msemaji ameandika kimara kituoni kabisa ndo chumba kipo hapo, sasa hapa kuna kielezi na chagizo tata kujua location halisi ya hiyo nyumba ni wapi katka pande kuu nne za dunia
 
kwanza nilisahau ulisema kimara hipi vile.......!?@kijanakijana.
 
Msemaji ameandika kimara kituoni kabisa ndo chumba kipo hapo, sasa hapa kuna kielezi na chagizo tata kujua location halisi ya hiyo nyumba ni wapi katka pande kuu nne za dunia

Mazingira yake yatakuwa mabovu tu.
 
Kwa hiyo akishalipia kiwanja hiyo kodi ya mwaka anaenda kulala hapo kwenye kiwanja chake ama? Sio bire, unakaa home wewe!
Angalia gharama ya kulipia pango kwa mwaka, umeme tajwa kwa mwezi mara miezi kumi na mbili .

Utajikuta umeshalipia kiwango fulani cha pesa ya kwanja cha 20 kw 20 squater, kama una njozi za kujenga nyumba yako. Ikiwa utamudu gharama za hilo pango
 
Kwa hiyo akishalipia kiwanja hiyo kodi ya mwaka anaenda kulala hapo kwenye kiwanja chake ama? Sio bire, unakaa home wewe!

Hujawahi kuchangia hoja kwa nia ya kusaidia umma ila kukashifu tu utafikiri unaowaandikia wote wanatokea unapoishi wewe, ukiona hoja huielewi we pita tu sio lazima uandika ujinga wako hapa.
 
hahahaha. unajua tunahitaji watu wa aina zote maishani. wale waiosaidia na wenye msaada kama wewe. umeshajenga nyumba ngapi vile, manake kama umeanza maisha kwa kukwepa kodi ujue wewe ni bingwa!
Hujawahi kuchangia hoja kwa nia ya kusaidia umma ila kukashifu tu utafikiri unaowaandikia wote wanatokea unapoishi wewe, ukiona hoja huielewi we pita tu sio lazima uandika ujinga wako hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom