Angalia gharama ya kulipia pango kwa mwaka, umeme tajwa kwa mwezi mara miezi kumi na mbili .
Utajikuta umeshalipia kiwango fulani cha pesa ya kwanja cha 20 kw 20 squater, kama una njozi za kujenga nyumba yako. Ikiwa utamudu gharama za hilo pango
Kwa bei ya mwezi mmoja hiyo mi nakupa design ya nyumba ukajenge, karibu.
nyie watu mnajua hata gharama za kujenga lakini?
da umeme 30000 X 12=360,000
kodi per year 150000 X 12=1,800,000
-jumla 2,160,000.
nilikuwa na mipango yakuamia huko mwaka huu,ila naona niamie pande za tabata tu.
Kwa bei ya mwezi mmoja hiyo mi nakupa design ya nyumba ukajenge, karibu.
maji hujahesabu..
Ntakutafuta mkuu