Chumba Master kinapangishwa Kimara Baruti DSM

hiki chumba mwez wa pili mwaka huu ulikitangaza na ukasema umepata mteja.. naona amekaa miezi mitatu tu amehama.. nini tatizo?
Ni kweli upo sahihi, ila mpangaji alietakiwa kuondoka alikosa sehem aliyotaka kuhamia, mana yeye alitaka kuanzia ya vyumba viwili, na chumba kilivyo kizuri akaona aongeze tu mda mpaka akipata nyumba nyingine nzuri angalau yenye hadhi kama ya chumba hiki,ndio kapata..
 
Vitu vizuri gharama.
Unataka unye ndani kwa ndani,ukitoka kwenye mechi uoge ndani kwa ndani,ukijamba ujambe ndani kwa ndani,ukikojoa ukojoe ndani kwa ndani.
Halafu unaona 100k ni pesa nyingi kwa mwezi?
Mleta uzi kazia hapo hapo walio makini watakuja kuchukua chumba!!
 
Chumba kingine kimepatikana kwenye hii nyumba; chumba ni master, maelezo ya msingi yapo kwenye uzi, karibuni
 
Mkuu nyumba ya vyumba vitatu mikocheni a bajeti yangu 250-300 napata??
 
Mkuu kwa mikocheni room master napata kwashingap
 
Chumba kingine kimepatikana kwenye master huzi, karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…