Single room laki moja!Wakati sinza napata master's bedroom na sebule kwa laki na ishirini.Tena usawa wenyewe huu!
Kapange tu huko mkuu, Na hiyo unayesema chumba master na sebule kwa 120k ni uongo, acha kujisemea tu, japo sishangai hiyo bei inaendanSingle room laki moja!Wakati sinza napata master's bedroom na sebule kwa laki na ishirini.Tena usawa wenyewe huu!
Hata huko tandale hiyo master na sebule kwa 120k akapambane na hali yake,Yaah.. Hata Tandale ni sinza pia.
Uko sawa.
Ubungo pia ni Tandale?Yaah.. Hata Tandale ni sinza pia.
Uko sawa.
Maoni tu.UtawapataHata huko tandale hiyo master na sebule kwa 120k akapambane na hali yake,
lakini sinza mtu akujengee kijumba kizuri sinza, kiwe, chumba na sebule, marumaru, slidwindos, gypsum, uzio mazingira mazuri hewa safi na maji yapo, umeme wa kujitegemea alafu akuwekee 120k acha kudanganya uma!
Marumaru,gypsum unaona vitu vya ajabu mkuu?Hata huko tandale hiyo master na sebule kwa 120k akapambane na hali yake,
lakini sinza mtu akujengee kijumba kizuri sinza, kiwe, chumba na sebule, marumaru, slidwindos, gypsum, uzio mazingira mazuri hewa safi na maji yapo, umeme wa kujitegemea alafu akuwekee 120k acha kudanganya uma!
Hapana nakaa kwenye nyumba ya tembe na kula ugali kwa mama.Kapange tu huko mkuu, Na hiyo unayesema chumba master na sebule kwa 120k ni uongo, acha kujisemea tu, japo sishangai hiyo bei inaendan
da na hadhi ua mtu, hapo ndipo ulipofikia na ni hadhi yako kwa hapo sinza, ila najua wakaaji wa sinza wapo hapa na wanakushangaa, sinza kuna master tu za 150k mpaka lakimbili, hiyo chumba na sebule chako inaelekea unakaa mabanda ya kuku uwani!
Hivi vitu havijazoeleka mkuu ndo maana kila dalali lazima ajumuishe na kuandika kwenyewe hawajui Tiles + GypsumMarumaru,gypsum unaona vitu vya ajabu mkuu?
Mbezi chumba,seble,choo ndani,feni chumban na seblen,ukuta mrefu,luku ya kwako,simtank lakwako lita 2000
120,000 tu
Mbezi ipi hiyo?Mbezi chumba,seble,choo ndani,feni chumban na seblen,ukuta mrefu,luku ya kwako,simtank lakwako lita 2000
120,000 tu
Mbezi ya kimara sio beach[emoji23]Mbezi ipi hiyo?
Hapo sawa... Ila ukijumlisha usafiri inazidi kodi masaki.Mbezi ya kimara sio beach[emoji23]
Chumba ni kizuri sana, kikubwa na kipo mazingira mazuri, kipo kimara baruti, na hakiko mbali na bara bara ya mwendonkasi, mwendo wa kutembea tu, bei ni 100,000/=kwa mwezi, ni chumba master yani chumba na choo ndani, huduma muhimu zipo, maji na umeme,
Kwa maelezo zaidi nichek kwa
0713415537 au
0684448888
Nb; Kwa wale wa chumba na sebule na Nyumba kuanzia vyumba viwili na kuendelea pia msisite kunichekiView attachment 783489View attachment 783490View attachment 783491View attachment 783492View attachment 783493View attachment 783494View attachment 783495
mbezi shamba?uwe na adabu kijana,watu wamepanga kiluvya mpaka makurunge kote ni mji alafu we unaita mbezi tembea ujionee,Unaanzaje kupanga Mbezi mkuu? Au ni Mbezi Beach sio Mbezi Shamba?
Mbezi Shamba ni bora ujenge tu hata kachumba kamoja choo cha nje sio mbaya.