Viko vizuri sana, lakini Mkuu nikuulize samahani, Chanika ni dar?Master bed 60K kipo Nyebulu chanika
View attachment 3540222View attachment 3540223View attachment 3540224
Hapo mbele tu ya Gomz ,usafiri kibao kwenda Town.Viko vizuri sana, lakini Mkuu nikuulize samahani, Chanika ni dar?
Madada poa wa kumwaga mkuu chanukah hawana ubayaaaq sijui huduma zingjneMazingira yakoje na huduma za jamii