Du mtu wa kwenda kuishi kwa mnyamani nadhani jf hawapoHabari! Kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani. Chumba hicho nilimpangia dada angu ambaye alikuwa anatoka mkoani kuja Dar, lakini kwa bahati mbaya akapata majukumu mengine huko mkoani ivyo hawezi kuja tena. Chumba kimekaa miezi miwili sasa bila mtu. Nililipia kabisa miezi 4. Sasa imebaki miezi miwili. Kama kuna mtu anayehitaji anaweza kunitafuta kwenye namba 0686128483. Huduma zote za msingi kama maji na umeme vinapatikana. kodi ni 50, 000/= kwa mwezi. Ivyo atakayehitaji awe tayari kunirudishia laki moja, japo naweza punguza hadi 80,000/= maana ishakuwa hasara tayari. Nimelipia alafu mlengwa hakufika.
hapana.Self au
Marekebisho kidogo, ni "Sealing board" na siyo "slingbord"nyumba iko safi sana, ina geti, ina slingbord (singi bodi), sakafu safi. kuna wapangaji wengine watatu, kwaiyo wewe utakuwa wa nne.
Na wewe sio "sealing board" , ni "Ceiling board"Marekebisho kidogo, ni "Sealing board" na siyo "slingbord"
Yes!Na wewe sio "sealing board" , ni "Ceiling board"
Hebu weka picha za hao wadada wapangajinyumba iko safi sana, ina geti, ina slingbord (singi bodi), sakafu safi. kuna wapangaji wengine watatu, kwaiyo wewe utakuwa wa nne.
nilikuwa bize sana na kazi. kwaiyo sikuwahi kumwambia mtu. Pia sijamwambia dalali yeyote, ndio maana kimekaa muda wote huo. Ni maamuzi ndio yamenijia jana eti nitangaze huku JF. Haina shida lakini naweza kukitumia kama Guest House nikiwa na mchepukoHow comes chumba miezi miwili hakijapata mtu, then kipo mjini [emoji848][emoji848][emoji848]