TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Mambo sasa yamebadilika kila nyumba ina bomba siku hizi.Mzee unajua hali ya maji mitaa hiyo??
Last time nilikua nakaa kwa ndugu yangu maeneo ya Riverside pale aisee maji wanatumia ya chumvi..
Ukitaka DAWASCO dumu moja wanauza 400. Hiyo ilikua 2016. Sasa hivi pakoje.
Ama na wewe hujafika kitambo.
Chumba kipo kibanda cha mkaa 80,000/= masterMi budget yangu laki1 kama utabahatisha nyumba maeneo ya mbezi mwisho na uweke mawasiliano yako hapa hadharan
Mi budget yangu laki1 kama utabahatisha nyumba maeneo ya mbezi mwisho na uweke mawasiliano yako hapa hadharan
[/QUOTE
Funguka vigezo au specification za hiyo nyumba ??
Nitafutie ya vyumba viwil vya kulala yenye jiko choo hata kikiwa cha nje sawa tu ila ijitegemee umeme na maji kama inapatikana
Sema ni kama self nikucheki kesho.Single room ipo hapo Riverside kwenye karibu na na ofisi za kuet thronebet bei 50,000/=
Nyingine ipo kwa njia ya kwenda jeshini kabla ujafika kwa mzee wa upako 50,000/=
Single room sio self.Sema ni kama self nikucheki kesho.
Una budget ya kiasi gani kwa self??Single room sio self.
financial services unaitwaKuna wadau walionyesha kuwa serious wanataka vyumba maeneo mbalimbali toka jana ,nimekuja na full updates
1.Chumba MSEWE 50,000/= kipo karibu na lichuo la Taifa UDSM na Chuo cha maji umbali wa dk 5 kwa mguu ,kina cealing board ,maji yapo,umeme kuchangia
2.Chumba single RIVERSIDE 50,000/= umbali dk 3 kutoka Mandela road
3.Chumba master RIVERSIDE 180,000/= umbali dk 10 kwa mguu kutoka Mandela Road full tires plus gypsum
4.Chumba KIBANDA CHA MKAA 80,000/= master full tires plus gypsum
5.Chumba na sebure MIKOCHENI 100,000/= maeneo ya Regence
6.Chmba Sebure TEMEKE -Kilwa road 70,000/= karibu na DUCE,TIA,Uhamiaji ,na chuo cha diplomasia chumba kipo umbali wa dk 15 kwenda kariakoo na hayo maeneo umeme unajitegemea,maji yapo,cealing board.
7.Chumba master KIMARA mwisho 100,000 mtaa wa matangini karibu na TRA umbali dk 30 kwa mguu kufika kituo cha mwendokasi.
8.Chumba master(3 rooms) mikocheni ,300,000/= umeme unajitegemea, slide window ,fence,parking
9.Chumba Sebure UBUNGO EXTERNAL 100,000/= umeme,maji,choo cha nje,fence no tires
Kama kuna mtu aliomba nimtafutie chumba jana sijamjibu anicheki tena chumba chenye parking majibu kesho asubuhi najuha kuna waliouliza.
Kimepatikana Kimara mwisho chumba master bei 80,000/= kama upo serious nichek tumalize shughuri,haya mambo ya vyumba kama kukologa zege halilali ukichelewa wanabeba .kuna jamaa yangu anatafuta self kwa 60-80 hapo
Kimepatikana Kimara mwisho chumba master bei 80,000/= kama upo serious nichek tumalize shughuri,haya mambo ya vyumba kama kukologa zege halilali ukichelewa wanabeba ..
Kimepatikana Kimara mwisho chumba master bei 80,000/= kama upo serious nichek tumalize shughuri,haya mambo ya vyumba kama kukologa zege halilali ukichelewa wanabeba .
npe namba akoKimepatikana Kimara mwisho chumba master bei 80,000/= kama upo serious nichek tumalize shughuri,haya mambo ya vyumba kama kukologa zege halilali ukichelewa wanabeba .
Ni Pm yako,nitakutext.